wavuti.com Updates

-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Napenda kuwataarifu kuwa blogu hii inapumzishwa rasmi na tovuti mpya imezaliwa kwa jina www.wavuti.com

This is to inform you that this blog has been retired. A new website to take her place is up and running at www.wavuti.com

Saturday, April 26, 2008

TweetThis! Dhana ya uchawi na vitendo vya kichawi kisa cha kwanza

WARNING: If you can not withstand HORRIBLE AND SHOCKING photos DO NOT READ THIS POST. DO NOT SCROLL DOWN.
TAHADHARI: Ikiwa huwezi kuvumilia kutizama picha za KUTISHA na KUOGOPESHA tafadhali USISOME HABARI HII WALA USIENDELEE KUTIZAMA BAADA YA MSARI HUU.

------------------------------------------

Picha zote zimepigwa na Dk. I H Mwakyula wa MUHAS na kutumwa kundi pepe la muXalumni
Habari hii waja wa Mungu imetokea kweli na nimeipata kutoka kwenye kundi pepe la muXalumni ambamo mojawapo ya wanachama wake ni waajiriwa Muhimbili National Hospital (MNH) na Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS).

Mungu wangu na Baba yangu! Nimeishiwa maneno! Hapa nilipo mwenzenu ninatetemeka kwa hofu, kila aina ya chakula ninachokiona ninahisi ni kichwa, sitanii, nimeingiwa na woga kweli. Good Gracious Lord of Mercy, what has happened of us? I am sorry.

On 4/26/08, Dr. Mw wrote: Dakika chache zilizopita kumetokea tukio la kusikitisha hapa MPL Muhimbili. Askari mmoja alimsimamisha mtoto wa miaka kama 9 hadi 11 akiwa amebeba kichwa cha mtoto mzuri kama wa miaka mitatu. Kijana yule akatoa kichwa mfukoni na kuanza kula live. Nikifika home nitawatumia picha. Ajabu sana!

On 4/26/08, Dr. Ki wrote:is it fools day today? kichwa ? kikavu kibichi au/ au unamaanisha cha mtoto wa thamaki

On 4/26/08, Dr. Ka wrote: Kijana mla kichwa cha mtoto alisema kuwa anapeleka zawadi kwa shangazi yake yuko IPPM (siyo psychiatry). Ni kweli tukio hili la kusikitisha sana limetokea. Kichwa ni cha mtoto wa kike mzuri (binadamu), it seemed to be fresh.Alidai anapeleka zawadi hiyo kwa shangazi yake yuko psychiatry! Mara baada ya kukamatwa, alianza kula kile kichwa live !!! !!!Hata hivyo baadhi ya mashuhuda wanasema aliyekamatwa aliwahi kulazwa psychatry unit.Kwa kuaangalia umbo lake, naye ni mtoto pia; hivyo nina walakini kuwa ni psychiatric patient (unless ana childhood neuropsychiatric/ neurodevelopmental disorders). Mbona amekuja Muhimbili na si kwingineko. Mfano, angekamatwa maeneo ya Ubungoama kwingineko; akataja Muhimbili psychiatry tungesikuwa na maswali mengi sana. Kwa upande mwingine, kula kichwa LIVE mbele ya kadamnasi inatia walakini kwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu. Wazazi/ walezi wa watoto hao (aliyetafunwa na aliyetafuna) wako wapi? Wana maelezo yapi? Pamoja na hayo, kiwiliwili kiko wapi? Kikipatikana chote (kuanzia shingoni hadi miguuni) kitatoa baadhi ya majibu.Polisi wa kutosha (magari mawili) wameondoka na kijana huyo uchunguzi (forensic investigation) unaendelea.
AMINI USIAMINI, NI KWELI YAMETOKEA.J. K
MUHAS (MUCHS)















2 feedback :

Anonymous said... Mon Nov 10, 05:29:00 AM MST  

Jamani tumuombe Mungu sana haya ni matendo yasiyoingia akilini. Tukio hili na liwe la kwanza na mwisho la sivyo sijui niseme nini.
Mungu atuhurumie na atusamehe kwa hili maana ameruhusu sisi tuishi ndani ya jamii iliyothubutu kutenda janga hilikweli inatisha.

Subi Nukta said... Mon Nov 10, 05:29:00 AM MST  

Ninaafiki wito wako. Maombi ni muhimu hasa kwa waamini. Mengi huweza kufanyika baada ya dhati katika sala na maombi. Pale utashi na akili ya binadamu inapodhani inaweza kutenga mambo yake na mengine kuacha kuwa ya Mungu ndipo tunapokosea kwa kuupima uwezo wa Mwenye kutupa uhai. Tuombe na kutaka atuwezeshe kuishi kwa makusudi Yake, na hii kuuana ama kuumizana katika maisha hata siku moja siamini kuwa ndilo kusudio lake! Mwenye kutoa na kutwaa Uhai atunusuru!

Recent Comments . Kauli za Wasomaji

###recentComment###

More Opportunities ads